SWIZZ BEATS ATAMKA HAYA KWA DIAMOND BAADA YA KUBEBA TUZO HII

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi.
Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika.

“Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. “Naomba niwashukuru sana sana kwa kura zenu Mashabiki zangu pendwa, wasanii wenzangu, media, uongozi pamoja na familia.”

Bahati mbaya kutokana na harakati za uchaguzi hatutaweza kuwa na mapokezi ila ukipita tutaandaa siku maalum kwa wote tuweze piga picha nayo,” ameandika kwenye Instagram.

Kutokana na ushindi huo, mastaa wengi wameendelea kumpa pongeza muimbaji huyo akiwemo mtayarishaji maarufu wa Marekani, Swizz Beatz aliyempongeza kwenye comment kwa kumuita king.


Hizi ni pongezi za wasanii wengine:

Mr Blue

Hongera mwanangu nasseeb mungu akubariki sana..na endeleza hasira hizo hizo…haina kuremba @diamondplatnumz

Navio

Hailing from East Africa…MTV Europe’s Best Worldwide Act- @diamondplatnumz. CONGRATS BRO! Apart from one other artist, I’ve never had more support from an EA artist than him. And hes not even Ugandan! While other big artists in the industry bicker, surplant and pull down their brothers, he always shows us as EA artists support and realness. He deserves it! Look at what supporting each other and Unity can do!

Banana Zorro

Congratulation Brother….u did it…u made it…..hatua kubwa saaana…stay blessed…@diamondplatnumz …and the team

Willy Paul Msafi

Ladies and gentlemen, @teamdiamondplatnumz has made Africa proud… congrats for winning #mtvema best world wide act/India… anything is possible…@diamondplatnumz

Vanessa Mdee

Diamond man, God got you kid. Nothing is impossible #NeverEver give up #WorldwideAct #Africa #MTVEMA WINNER!!!! ASANTE TANZANIA

Salama Jabir

Salama Zalhata Jabir ‏@EceJay 4h4 hours ago View translation
Hongera Pia Kwa Bwana Nasibu Abdul, Naona Mdosi Kanyooka! ���� Kwetu Pazuri Bwana
@diamondplatnumz @Sallam_SK

Chairman HKN (Kaka yake Davido)

Congrats @diamondplatnumz on Winning Best world Act Africa/India #MTVEMA pretty sure he’s the first African Artist to do so big ups!


Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may occupy our attention, but they do not define us. By Mitt Romney KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top