HAYA NI MAZITO ALOSEMA JANUARY MAKAMBA KUHUSU KIFO CHA MAKADA WA CCM, MGOMBEA UBUNGE "FILIKUNJOMBE

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


Mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ametweet kuhusu taarifa hizo.

 "Nimetoka kupokea taarifa inayothibitisha kwamba chopa aliyokuwa amekodi Ndugu yetu Filikunjombe imeanguka na watu wote wamefariki"


"Siku mbili zilizopita niliongea kwa kirefu na Deo kuhusu mikakati. Nimepoteza rafiki na ndugu. Mungu amrehemu na pole kwa familia za wafiwa"
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top