KUTOKA MAKAO MAKUU YA CCM DAR, MAJIBU YAMETOLEWA.... MAGUFULI NA MDAHARO? UTAFITI WA TWAWEZA?

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Kutokana na ukubwa wa Tukio la Uchaguzi Mkuu wa MadiwaniWabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania siku ya Jumapili October 25 2015, stori zinazohusu Siasa zinakuja kila siku kwenye Headlines na kila kubwa ambayo inanifikia nahakikisha tu na wewe inakufikia wakati huohuo.
Imenifikia Taarifa kutoka Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambapo January Makamba, Mjumbe wa Kamati ya Kampeni CCM ameitoa Taarifa hii.
DSC_9026
Kwenye kile alichokisema kuna hili jibu kuhusu Mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 anayewakilisha CCM, Dk. Magufuli kushiriki Midahalo >>> ‘CCM ilipokea mwaliko wa MCT na kuijibu tarehe 13 Septemba 2015.. CCM ilitoa kauli rasmi, iliyosainiwa, ikithibitisha kushiriki mdahalo, tunaamini ni vyema mdahalo huu ukaandaliwa na ushirika wa Taasisi mbalimbali zenye nia ya kuandaa… Magufuli amekubali kushiriki Mdahalo wa Wagombea Urais >>>- January Makamba.
DSC_9039
Jana kulikuwa na stori ambayo iligusa sana kwenye Siasa TANZANIA, ishu ni Matokeo ya Utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA >>> ‘CCM haikushangazwa na matokeo ya Utafiti wa TWAWEZA ambayo yanatoa ushindi wa 65% kwa Ndugu John Magufuli dhidi ya 25% za Mgombea wa UKAWA… Matokeo ya Utafiti huu ni ishara kwamba Watanzania wamemkubali na kumuelewa Ndugu Magufuli >>> January Makamba.
DSC_9040
Maneno mengine ya January Makamba haya hapa >>> ‘Mwezi Agosti 2010 Taasisi ya SYNOVATE ilitoa Utafiti ikionesha CCM itashinda Uchaguzi wa 2010 kwa 61%, Wapinzani waliwalaani na kuwashitaki SYNOVATE… Kwenye Matokeo halisi CCM ilipata Kura zilezile 61%‘ >>>- January Makamba.
Taarifa yote ninayo hapa pia kama unahitaji kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
IMG-20150923-WA0030
IMG-20150923-WA0028
IMG-20150923-WA0027
IMG-20150923-WA0026
Picha nyingine toka ndani ya Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya CCM hizi hapa.
DSC_9041 (1)
DSC_9042

DSC_9043
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top