SAJENTI AJIFUNGUA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

LICHA ya kukana mara kwa mara kuhusu kuwa na ujauzito, kuna madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Husna Idd ‘Sajenti’ amejifungua mtoto wa kike.Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanamama huyo alijifungua hivi karibuni katika Hospitali ya Kinondoni, maarufu kama Kwa Dokta Mvungi na kwamba jambo hilo analifanya siri kwani hataki watu wajue kama amepata mtoto huyo wa pili.Gazeti hili lilipomtafuta na kumuuliza kuhusu madai hayo, alikataa katakata kuwa na mtoto, habari ambazo zimewashangaza watu wake wa karibu, waliosisitiza kuwa habari hizo ni za kweli na kwamba kwa sasa anaishi na mwanaye huyo kwa dada yake maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam.

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top