WAZUNGU WA YANGA WAFURAHIA USHINDI DHIDI YA TELECOM

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na Telecom

Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na Telecom
Yanga jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 mbele ya Telecom ya Djibouti kwenye mchezo wa kundi A uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, magoli ya Yanga yakifungwa na Malimi Busungu aliyerudi kambani mara mbili pamoja na Godfrey Mwashiuya aliyefunga goli la tatu.
Hapa wakifatilia mchezo huo kwa makini wakiwa ndani ya uzi wa kijani na njano ambao huvaliwa na Yanga
Hapa wakifatilia mchezo huo kwa makini wakiwa ndani ya uzi wa kijani na njano ambao huvaliwa na Yanga
Mashabiki wa Yanga walikuwa katika nyakati mbili tofauti wakati mchezo wa jana unaendelea, kwanza walianza kwa kushangilia kwa nguvu lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda na wachezaji wa Yanga kukosa magoli, mashabiki walianza kupunguza spidi ya ushangiliaji. Lakini baada ya goli la kwanza kufungwa wakalipuka na kushangilia kwa nguvu baada ya hapo walisikika wakizomea hasa Msuva alipokosa penati
Mashabiki wa Yanga kabla timu yao haijapata goli
Mashabiki wa Yanga kabla timu yao haijapata goli
Goli la pili kutoka kwa Busungu na goli la tatu lililofungwa na Mwashiuya yaliwafanya mashabiki kurejea tena kuanza kupiga ngoma na kuimba kuishangilia timu yao kwa nguvu.
Shabiki maarufu wa wanajangwani Ally Yanga akiwa akiwa mwenye huuni kabla ya timu yake haijapata goli
Shabiki maarufu wa wanajangwani Ally Yanga akiwa akiwa mwenye huuni kabla ya timu yake haijapata goli.
Baada ya Mwashiuya kupiga bao la tatu, mashabiki wa Yanga wakaanza kushangilia wakionesha vidole vitatu wakimaanisha magoli matatu yaliyofungwa na timu yao
Baada ya Mwashiuya kupiga bao la tatu, mashabiki wa Yanga wakaanza kushangilia wakionesha vidole vitatu wakimaanisha magoli matatu yaliyofungwa na timu yao
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top