TANZANIA REVENUE AUTHORITY WAWATAKA TFF KUHAKIKISHA WACHEZAJI WALIPA KODI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


Tanzania Revenue Authority (TRA), hatimaye wawataka TFF kuhakikisha kila mchezaji katika club za nchini Tanazania kulipa kodi. mamlaka hiyo ya mapato imehitaji kila mkataba unaohusisha vilabu vya mpira nchini na wachezaji kuwekewa stamp na mamlaka hiyo. hiyo itawapasa kila mchezaji kulipa kodi kulingana na kipato chake yaani malipo yake.
Swala hilo limekuwa kama jipya masikioni mwa club zetu nchini, hivyo kupelekea kuamsha minong'ono mingi juu ya swala hilo. Kwa mtazamo halisi inaonyesha mamlaka ya mapato haijafanya uchunguzi juu ya uendeshaji wa club za nchini. bila shaka yatakuwa ni maamuzi yaliyofikiwa kwa kuangalia uendeshaji wa vilabu vikubwa nchini yaani Simba sports club, Young African Sports club na Azam.
 Kwani vipato vingi vya wachezaji wa club ndogo nchini si vya uhakika,wengi wao huishi kwa Posho wapatayo katika vilabu hivyo.

Maoni ya wadau wengi juu ya swala hilo ni kuwataka TRA kukaa chini na kuangalia mstakabali wa swala hilo; kama asemavyo mwenyekiti wa club ya Mwadui   "wachezaji wa soka hawajapangiwa vima vya chini vya mishahara bali malipo yao ni maelewano kati ya mchezaji na club, je Kodi hiyo itakatwa katika angalizo lipi?. pia hakusita kulauma mamlaka hiyo kushindwa kukusanya kodi kwa makampuni mengine ambayo yamekuwa yakikwepa nchini,. Mwenyekiti huyo akishauri mamlaka kulitafakari swala hilo kwa kina."

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top