ROY KEANE HAJAACHA MAMBO YAKE…AONGEA SHOMBO KUHUSU ARSENAL

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
dzfsfg
Huyu jamaa alikua ni mtu wa beef sana na nguvu nyingi hasa akiwa kwenye game za Arsenal enzi zake. Sasa, hivi karibuni alivyoambiwa atoe maoni yake kuhusu jinsi Arsenal inavyo-perform kwenye UEFA aliongea maneno ambayo sio mazuri kwa mashabiki wa Arsenal lakini alikua na maana yake.
Unaonaje jinsi Arsenal inavyocheza, “They are soft, Arsenal wapo weak sana. Magoli wanayoachia kama ulivyoona kwenye usiku wa UEFA, huwezi kuwapa nafasi ya kushinda mechi ngumu kama wana defend kwa style ile. Kuna vitu vina miss kwenye timu yao, wanakosa kiongozi na mtu mwenye hali ya ushindi kuwaongoza”.
Roy Kean alikua ana maanisha wachezaji kama Partick Viera,Thiery Henry na aina hiyo ya wachezaji ambao walikua wanakiongoza kikosi cha Arsenal kushinda michezo mbalimbal
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top