MANNY PACQUIAO KUREJEA ULINGONI ATAPIGANA NA NANI? JIBU LIPO HAPA....

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Bondia wa kimataifa wa Filipino Manny Pacquiao ambaye mwezi May mwaka 2015 alipigana na bondia mwenye rekodi ya kutopigwa Floyd Mayweather, ameanza kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya kufanyiwa upasuaji katika bega la kulia. Manny Pacquiao mara ya mwisho kuingia ulingoni ilikuwa dhidi ya Floyd Mayweather na kushindwa kwa point.
2CE3279F00000578-0-image-a-40_1443517091461
Manny Pacquiao baada ya kushindwa pambano hilo alitoa sababu kuwa moja kati ya vitu vilivyochangia kupoteza pambano hilo ni bega lake ambalo lilikuwa na mauvu, hivyo alipaswa kufanyiwa upasuaji ila ilimlazimu kuingia ulingoni baada ya maandalizi ya pambano hilo, yalikuwa yamekamilika kwa kiwango kikubwa hivyo ilikuwa ngumu kuhairisha.
2CE3279300000578-0-image-a-39_1443517088399
Stori zilizoandikwa September 29 ni kuwa bondia huyo atarudi ulingoni mwakani dhidi ya Amir Khan, taarifa hizi zinakuja baada ya Manny Pacquiao kufanyiwa kipimo cha MRI Scan na kugundulika kuwa anaendelea vizuri. Promota wa bondia huyo Bob Arum alithibitisha wiki iliopita kuwa yupo katika mazungumzo na timu ya Amir Khan na mambo yanaenda vizuri.
2CE0076E00000578-0-image-a-37_1443517077500
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top