Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno.

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika ‘Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni vitendo ushahidi tosha kuwa mgombea wa CCM anakubalika na ni bora kwa kazi’

Kwenye page yake ya Instagram aliweka video akaandika ‘Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona mazuri yatendekayo na mtendaji wa hayo, ‪#‎Magufuli2015 #‎MzikiwaMagufuliUtauweza?

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top